KMC FC KUWAFUATA DODOMA JIJI KESHO IKIWA NA WACHEZAJI 20

Kikosi cha Timu ya KMC FC, kitaondoka Jijini Dar es Salaam kesho kuelekea Jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Dodoma Jiji utakaochezwa Juni 17 katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma. Kikosi hicho cha wana Kino Boys kinachonolewa na kocha Mkuu John Simkoko pamoja na msaidizi wake Habibu